Betpawa Tanzania,Jinsi ya Kufungua Akaunti,Kuweka Pesa Kupitia MPESA, kuweka pesa kupitia Tigo Pesa, kuweka pesa kupitia Airtel Money, kuweka pesa kupitia Halo Pesa,Kutoa Pesa, kuongea na mtoa huduma

4268

Kama unataka kuingia kwa Betpawa,campuni ya Kamari,kuweka pesa and Kutoa,hivi ndivyo utakavyofanya:

Jinsi ya kufungua akaunti

    Jiunge nasi kupitia link hapo chini

    Ingiza namba yako na tengeneza neno lako la siri lisilopungua tarakimu/herufi sita

    Kubaliana na vigezo na masharti na kisha bonyeza Wasilisha

Kumbuka:

Neno la siri utakalochagua wakati wa kujiunga ndilo utakalokuwa unatumia kila mara unapohitaji kuingia katika akaunti yako ya betPawa. https://www.betpawa.co.tz/

Nimesahau neno langu la siri

 1. Tengeneza neno lako la siri jipya kupitia link hapo chini
 2. Ingiza namba yako ya simu uliyofungulia akaunti
 3. Omba kutengeneza neno lako la siri jipya na uthibitishe kwa kutumia PIN tutakazo kutumia kwa njia ya SMS

Jinsi ya kuweka pesa kupitia M-Pesa

 1. Bonyeza *150*00#
 2. Chagua 4 – Lipa na M-Pesa
 3. Chagua 4 – Ingiza namba ya kampuni
 4. Ingiza 122122 (As Selcom Pay/Masterpass business number)
 5. Ingiza 60124815
 6. Ingiza kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya betPawa
 7. Ingiza PIN yako na kisha utume
 8. Pesa yako itaingia muda huo huo na utapokea ujumbe kutoka M-Pesa unaothibitisha muamala wako

Jinsi ya kuweka pesa kupitia Tigo Pesa

 1. Bonyeza *150*01#
 2. Chagua 4 – Lipa bili
 3. Chagua 3 – Ingiza namba ya kampuni
 4. Ingiza 122122
 5. Ingiza 60124815
 6. Ingiza kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya betPawa
 7. Ingiza PIN yako na kisha utume
 8. Pesa yako itaingia muda huo huo na utapokea ujumbe kutoka Tigo-Pesa unaothibitisha muamala wako

Jinsi ya kuweka pesa kupitia Airtel Money

 1. Bonyeza *150*60#
 2. Chagua 5 – Make Payments/lipa bili
 3. Chagua 1 – Merchant Payments/lipia bidhaa
 4. Chagua tena 1 – Lipa kwa kupitia SelcomPay/Masterpass
 5. Enter deposit amount
 6. Ingiza kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya betPawa
 7. Ingiza kumbukumbu namba zetu ambazo ni 60124815
 8. Ingiza PIN yako na kisha utume

Jinsi ya kuweka pesa kupitia Halo Pesa

 1. Bonyeza *150*88#
 2. Chagua 5 – Lipia bidhaa
 3. Chagua 3 – Lipa kwa kupitia Selcom Pay/Masterpass
 4. Ingiza kumbukumbu namba zetu ambazo ni 60124815
 5. Ingiza kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya betPawa
 6. Ingiza PIN yako na kisha utume
 7. Pesa yako itaingia muda huo huo na utapokea ujumbe kutoka Halo Pesa unaothibitisha muamala wako

Jinsi ya kutoa pesa yangu nilioshinda

    Fungua ukurasa wetu wa kutoa pesa hapo chini

    Ukihitajika, ingiza jina lako la kwanza na la mwisho katika sehemu husika

    Ingiza kiasi unachotaka kutoa (Kiwango cha chini 1,000/=)

    Bonyeza ‘Request Withdrawal’ Utapokea pesa yako ndani ya muda wa dakika 10

Hakikisha umeingia katika akaunti yako ya betPawa na uendelee kutoa pesa kwa kubonyeza https://www.betpawa.co.tz

Jinsi ya kuongea na mtoa huduma
Nambari ya simu

+255 768 141904 (Vodacom)

+255 622 004681 (Halotel)

barua pepe: [email protected]

Whatsapp:

+255 677 062998