
Kama unataka kufanya malipo Kwa Betika Tanzania,tumia huu utaratibu:
Mobile Money// Pesa ya Simu
Tigo Pesa
- Piga *150*01# kupata menyu ya TIGO Pesa
- Chagua namba 4 “LIPA kwa TIGO Pesa&” kwenye menyu yako ya TIGO Pesa
- Chagua namba 4 “Weka namba ya Kampuni”
- Weka namba ya Kampuni “545454”
- Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (Namba yako ya simu)
- Ingiza kiasi unachotaka kulipia kuanzia “100”
M-Pesa
- Piga *150*00# kupata menyu ya M-Pesa
- Chagua namba 4 “LIPA kwa M-Pesa” kwenye menyu yako ya M-Pesa
- Chagua namba 4 “Weka namba ya Kampuni”
- Weka namba ya Kampuni “545454”
- Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (Namba yako ya simu)
- Ingiza kiasi unachotaka kulipia kuanzia “100”
Airtel
- Piga *150*60# kupata Menu ya AIRTEL MONEY
- Chagua namba 5 “Lipa Bili”
- Chagua namba 4 “Weka namba ya kampuni”
- Andika namba ya kampuni “545454”
- Ingiza kiasi cha pesa “kiwango cha chini ni 100”
- Ingiza namba ya kumbukumbu “Namba yako ya simu uliyofungulia akaunti”
Halo Pesa
- Bonyeza *150*88# kuingia kwenye menyu ya Halopesa
- Chagua 4 “Lipa Bili”
- Chagua 3 Ingiza namba ya kampuni “545454”
- Ingiza namba ya kumbukumbu “Namba yako ya simu uliyofungulia akaunti”
- Ingiza kiasi (kiwango cha chini 100)
Mtandao
Jinsi ya kuweka hela mtandaoni
- Ingia katika Akaunti yako kwa www.betika.co.tz
- Tuma maoni
- Bonyeza kwa ‘Profile’ au ‘Akaunti yangu’
- Chagua Kiwango unachopenda kuweka
- Bonyeza weka: Pin ya Pesa inapaswa kuonekana kwenye simu yako ya mkononi
- Ingia katika PIN yako
USSD
Piga *149*16# na uchague chaguo la 4 kufuata maelekezo